#HABARI HIVI PUNDE, KAFULILA NJIA NYEUPE BUNGENI, MAHAKAMA YATOA MAAMZI MAGUMU#

By  

1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda KAFULILA Leo katika mahakama kuu kanda ta Tabora.

Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.

2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya HASINA ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge.

3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.