Ni kweli Wema Sepetu ana mimba ya Idris? vipi kuhusu ndoa yao…(+AUDIO)

By  

Kumekuwa na headline nyingi zikiandikwa kuhusu mastaa wa bongo Idris Sultan naWema Sepetu na hii ni kuhusu mapenzi yao, hapa nakukutanisha na Idris akifunguka yote makubwa usiyoyajua kuhusu mapenzi yao.